Ratiba ya UEFA Champions League 2024/25, Mzunguko wa 3: Ligi ya UEFA Europa (hapo awali iliitwa Kombe la UEFA), iliyofupishwa kama UEL, ni shindano la kila mwaka la vilabu vya kandanda lililoandaliwa tangu 1971 na Muungano wa Vyama vya Soka vya Ulaya (UEFA) kwa vilabu vinavyostahiki vya kandanda vya Uropa.
Ni shindano la daraja la pili la soka la vilabu barani Ulaya, likiwa chini ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA na juu ya Ligi ya Mikutano ya UEFA.
Mechi za Match Day 3 za Ligi ya Mabingwa wa Ulaya zinakaribia, na vita vya kandanda barani Ulaya vinazidi kuwa moto zaidi. Ratiba hii inatoa mwanga wa baadhi ya mechi za kusisimua ambazo zitasababisha upinzani mkali kati ya timu bora za vilabu duniani.
Timu kama Barcelona, Bayern Munich, Real Madrid, PSG, na Liverpool zinajiandaa kupambana na wapinzani wao katika hatua hii muhimu ya mashindano. Mashabiki kote ulimwenguni wanatazamia ushindani wa hali ya juu huku timu zikisaka nafasi ya kufuzu kwenye hatua inayofuata.
Ratiba ya UEFA Champions League 2024/25, Mzunguko wa 3
Ifuatayo ni ratiba kamili ya michezo ya UEFA ya mzunguko wa 3 kwenye mfumo mpya wa mashindano wa UEFA:-
- Milan vs Club Brugge
- Monaco vs Crvena Zvezda
- Arsenal vs Shakhtar Donetsk
- Aston Villa vs Bologna
- Girona vs Slovan Bratislava
- Juventus vs Stuttgart
- Paris Saint-Germain (PSG) vs PSV Eindhoven
- Real Madrid vs Borussia Dortmund
- Sturm Graz vs Sporting CP
- Atalanta vs Celtic
- Brest vs Bayer Leverkusen
- Atletico Madrid vs Lille
- Barcelona vs Bayern Munich
- Benfica vs Feyenoord
- Leipzig vs Liverpool
- Manchester City vs Sparta Prague
- Salzburg vs GNK Dinamo
- Young Boys vs Inter Milan
Je, timu yako itaibuka mshindi katika Match Day 3 ya msimu huu wa UEFA Champions League? Jiandae kwa burudani ya hali ya juu!
Pendekezo la Mhariri:
Leave a Reply