Save 20% off! Join our newsletter and get 20% off right away!

Hafiz Konkon Aishinda Kesi ya Madai FIFA Dhidi ya Yanga

Hafiz Konkon Aishinda Kesi ya Madai FIFA Dhidi ya Yanga: Hafiz Konkon na Yanga SC Katika Kesi ya Madai, FIFA Yatoa Maamuzi ya Kulipa Fidia.

Hafiz Konkon Aishinda Kesi ya Madai FIFA Dhidi ya Yanga

Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Hafiz Konkon kutoka Ghana, ameibuka mshindi katika kesi yake ya madai dhidi ya klabu hiyo. Mnamo Oktoba 17, 2024, FIFA ilitoa barua rasmi yenye maamuzi ya kumlipa fidia mchezaji huyo baada ya kushinda kesi yake.

Hafiz Konkon aliwasilisha kesi hiyo FIFA, akidai haki zake za malipo kutoka kwa Yanga SC baada ya kuachana na klabu hiyo. Barua hiyo iliyopokelewa na Yanga SC leo inaagiza klabu hiyo kumlipa fidia mchezaji huyo kwa mujibu wa maamuzi ya shirikisho hilo la kimataifa.

Hafiz Konkon Aishinda Kesi ya Madai FIFA Dhidi ya Yanga
Hafiz Konkon Aishinda Kesi ya Madai FIFA Dhidi ya Yanga

Yanga SC, ambayo ilishiriki kwenye kesi hiyo kwa muda, sasa inalazimika kutekeleza maamuzi ya FIFA kwa mujibu wa sheria na kanuni za shirikisho hilo. Ushindi huu ni hatua muhimu kwa Hafiz Konkon katika kudai haki zake za kifedha, huku Yanga SC ikitarajiwa kulipa fidia inayostahili.

Taarifa zaidi juu ya kiasi cha fidia na hatua za utekelezaji bado zinatarajiwa kutolewa.

Pendekezo la Mhariri: