Save 20% off! Join our newsletter and get 20% off right away!

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Dhidi ya Sudan, Kufuzu CHAN

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Dhidi ya Sudan, Kufuzu CHAN: Baada ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kuingia kwenye ki nyang’anyiro cha kusaka nafasi ya kuwakilisha taifa kwenye michuano ya CHAN sasa wanaaza na Sudan mwezi huu Oktoba.

Orodha ya wachezaji walioitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kwa ajili ya michezo ya kufuzu michuano ya CHAN 2024 dhidi ya Sudan.

Kocha Bakari Shime ameongoza uteuzi huu kwa lengo la kuhakikisha timu inapata mafanikio kwenye mechi hizi muhimu/Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Dhidi ya Sudan, Kufuzu CHAN.

Kikosi hiki kimejumuisha wachezaji mchanganyiko kutoka klabu mbalimbali za Tanzania kama vile Simba SC, Azam FC, JKT Tanzania, Coastal Union, na Mashujaa FC, huku wachezaji wengi wakiwa kutoka kikosi cha vijana cha Ngorongoro Heroes.

Malengo ya timu ni kufanya vizuri kwenye mechi za kufuzu CHAN, mashindano yanayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani tu.

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Dhidi ya Sudan, Kufuzu CHAN 2024

Ifuatayo ni orodha ya wachezji watakaousika na michezo miwili dhidi ya Sudani ya kufuzu CHAN:-

Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Dhidi ya Sudan, Kufuzu CHAN
Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Dhidi ya Sudan, Kufuzu CHAN

Orodha ya Wachezaji:

  1. Aishi Manula (Simba SC)
  2. Isaya Kassanga (TFF Academy TDS, Tanzania Prisons U17)
  3. Anthony Mpemba (Ngorongoro Heroes, Azam U20)
  4. Paschal Msindo (Azam FC)
  5. David Braison (JKT Tanzania)
  6. Nickson Mosha (Ngorongoro Heroes, KMC FC)
  7. Lameck Lawi (Ngorongoro Heroes, Coastal Union)
  8. Abdulrahim Bausi (JKT Tanzania)
  9. Vedastus Masinde (Ngorongoro Heroes, TMA FC)
  10. Ibrahim Ame (Mashujaa FC)
  11. Hijjah Shamte (Ngorongoro Heroes, Kagera Sugar)
  12. Adolf Mtsasingwa (Azam FC)
  13. Abdulkariim Kiswanya (Ngorongoro Heroes, Azam U20)
  14. Charles Semfuko (Coastal Union)
  15. Shekhani Hamis (Ngorongoro Heroes, Young Africans)
  16. Ahmed Pipino (Ngorongoro Heroes, Magnet FC)
  17. Sabri Kondo (Ngorongoro Heroes, KVZ)
  18. Salum Ramadhan (Ken Gold FC)
  19. Ismail Kader (JKT Tanzania)
  20. Bakari Msimu (Ngorongoro Heroes, Coastal Union)
  21. William Edgar (Fountain Gate FC)
  22. Seleman Mwalimu (Fountain Gate FC)
  23. Valentino Mashaka (Ngorongoro Heroes, Simba SC)
  24. Cyprian Ngushi (Mashujaa FC)

Kocha Mkuu:

  • Bakari Shime

Pendekezo La Mhariri: