Orodha ya Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara: Ligi kuu Tanzania Bara rasmi ilianzishwa mwaka 1965 miaka minne baada ya Uhuru wa Tanzania.
Yanga na Simba ndizo zilizo chukua ubingwa mara nyingi zaidi kuliko nyingene zote hapa Tanzania Bara. Timu nyingine zilizochukua katika miaka 54 ya ligi kuu Bara ni pamoja na Coastal Union, Tukuyu Stars, Azam FC na Mtibwa Sugar.
Yanga ndiyo iliyochukua mara nyingi zaidi ubingwa huo ikifuatiwa kwa karibu na Simba ambayo zamani ilijulikana kama Sunderland Sports Club. Yanga imechukua mara 30 Simba mara 22 mchuano ni mkali kweli kweli.
Orodha ya Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara
Hapa chini tumekuwekea Orodha ya Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kamili ya historia ya ubingwa huo tangu mwaka 1965:
1965 Sunderland (Simba SC)
1966 Sunderland
1967 Cosmopolitan
1968 Young Africans
1969 Young Africans
1970 Young Africans
1971 Young Africans
1972 Young Africans
1973 Simba SC
1974 Young Africans
1975 Mseto SC
1976 Simba SC
1977 Simba SC
1978 Simba SC
1979 Simba SC
1980 Simba SC
1981 Young Africans
1982 Pan Africans
1983 Young Africans
1984 Simba SC
1985 Young Africans
1986 Tukuyu Stars
1987 Young Africans
1988 Coastal Union
1989 Young Africans
1990 Simba SC
1991 Young Africans
1992 Young Africans
1993 Young Africans
1994 Simba SC
1995 Simba SC
1996 Young Africans
1997 Young Africans
1998 Young Africans
1999 Mtibwa Sugar
2000 Mtibwa Sugar
2001 Simba SC
2002 Young Africans Sc
2003 Simba SC
2004 Simba SC
2005 Young Africans Sc
2006 Young Africans Sc
2007 Simba SC
2007-08 Young Africans Sc
2008-09 Young Africans Sc
2009-10 Simba SC
2010-11 Young Africans
2011-12 Simba SC
2012-13 Young Africans
2013-14 Azam FC
2014-15 Young Africans
2015-16 Young Africans
2016-17 Young Africans
2017-18 Simba SC
2018-19 Simba SC
2019-20 Simba SC
2020-21 Simba SC
2021-22 Young Africans SC
2022-23 Young Africans SC
2023-24 Young Africans SC
2024-25 ???????
Swali linabaki pale pale msimu huu timu ipi itachukua ubingwa?
Pendekezo la Mhariri:
Leave a Reply